Maelefu wakiwa wamefurika
kwenye mkutano wa hadhara wa CCM unaofanyika jioni hii kwenye Viwanja
vya Jangwani, jijini Dar es Salaam. Mkutano huo ni wa kuwapongeza
viongozi wa mashina na matawi waliochaguliwa katika uchaguzi wa CCM
ulifanyika kwa ngazi hizo mkoani Dar es Salaam.
Latest News!
Advertisement
Related Posts
Leave a reply
0 comments for "CCM YATAPIKA JANGWANI"